JATU PLC: YAPATA MUALIKO WIZARA YA KILIMO
Safari ya Kiteto Tarehe 10.09.2019 tunategemea kutoa orodha ya wanahisa wa JATU PLC ambao walinunua hisa za ndani na walikubaliana na utaratibu wa kuchangia Tshs. 30,000/= kwa ajili ya zoezi la soko…
Safari ya Kiteto Tarehe 10.09.2019 tunategemea kutoa orodha ya wanahisa wa JATU PLC ambao walinunua hisa za ndani na walikubaliana na utaratibu wa kuchangia Tshs. 30,000/= kwa ajili ya zoezi la soko…
UFAFANUZI ZAIDI KUHUSU KUPATA WADHAMINI WA MCHAKATO WA SOKO LA HISA (UNDERWRITERS) KWA AJILI YA JATU PLC 1. MAANA YA SOKO LA HISA NA MCHAKATO WAKUINGIA SOKONI: Soko la hisa…
Na Mwandishi wetu: Idara ya Masoko ya Jatu plc leo imepata wasaa wa kutembelea mkoa wa Morogoro wakiongozwa na Mary Chulle ambaye ni mkuu wa idara hiyo, na kupata fursa ya kutembelea ofisi…
Na: Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Jatu Plc ni miongoni kati ya makampuni na mashirika ambayo yanashiriki maonesho ya bidhaa zinazoandaliwa na viwanda vya Tanzania yanayoanza ramsi leo Desemba 05,2019. Maonesho hayo…
Kampuni ya Jatu Plc imeandaa hafla maalum ya chakula cha jioni kwa wawekezaji nchini Tanzania.Halfa hiyo imelenga kuwakutanisha wawekezaji mbalimbali nchini ambao watakuwa na utayari wa kuwekeza na kampuni ya…