MUHIMU: TANGAZO KWA WAKULIMA WA JATU
Tunapenda kuwataarifu wanachama wakulima walionunua mashamba Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara, kwamba kutakuwa na Kikao kitakachofanyika Ofisi za Posta Jengo la PSSSF, ghorofa namba 11 ukumbi wa mikutano kuanzia…