KARIBU KATIKA BANDA LA JATU NDANI YA SABASABA MAONYESHO
Kampuni ya JATU inapenda kuwakaribisha wananchi wote katika kipindi hiki cha msimu wa sabasaba katika banda letu namba 56 (ofisi za JATU SACCOS). Haya ni maonyesho ya 45 yakiwa na…
Kampuni ya JATU inapenda kuwakaribisha wananchi wote katika kipindi hiki cha msimu wa sabasaba katika banda letu namba 56 (ofisi za JATU SACCOS). Haya ni maonyesho ya 45 yakiwa na…
Kampuni ya JATU PLC kupitia kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo imekua na dhima kuu ya kuuza hisa zake za awali ambazo zinapatikana kwa bei rahisi, hisa moja ni shilingi…
BUKU TANO INATOSHA yazidi kuwa gumzo kutokana na njia mbalimbali zinazotumika kuhakikisha kuwa kila mwananchi anafikiwa na kunufaika kwa namna moja ama nyingine na fursa hii ya hisa. Tulianza na…
Kampuni ya JATU PLC kupitia tawi la Mwanza imezidi kuwafikia wananchi wengi kupitia kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo lengo kuu ni kuuza hisa za awali, kampeni hii ilianza rasmi…
Kampuni ya JATU PLC kupitia kampeni yake ya BUKU TANO INATOSHA inaendelea kwa kuhakikisha kuwa kila mtu anazidi kunufaika na hisa hizi ambapo kwa BUKU TANO TU sasa unaweza KUMNUNULIA…
Pia unaweza kununua HISA kwa kupakua fomu hapo chini kisha jaza taarifa zako na utume kwenda kwenda kwenye email hisa@jatu.co.tz. Fomu ya maombi ya kununua hisa kwa swahili-Download Application-form-eng.language Download
Tangazo hili limeidhinishwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kwa mujibu wa Kanuni za Matangazo chini ya Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Gazeti la Serikali…
The information given in this Prospectus is in compliance with the requirements of the Capital Markets and Securities Act No. 5 of 1994, as amended in 2010, the Regulations of…