Entries by jatu

ZIMBABWE WAIPONGEZA JATU

  Mwanzoni mwa wiki iliyopita Kampuni ya Jatu PLC inayoongozwa na vijana na kujihusisha na miradi ya kilimo viwanda na masoko ilipokea ugeni wa Wizara ya Vijana kutoka nchini Zimbabwe . Ugeni huo ambao ulikuwa na viongozi waandaamizi wapatao nane (8) kutoka wizara hiyo ya vijana ya (Zimbabwe) , huku ukiwa na lengo la kujifunza […]

MKUTANO WA WANAHISA WA JATU

Leo ilikuwa siku ya kikao cha dharura cha wanahisa wa Jatu PLC, Ajenda kuu tuliyojadili ni kuhusu mkutano mkuu wa wanahisa wa mwaka 2018 (Annual general Meeting). Hii itakuwa ni mara ya pili kwa jatu kufanya mkutano (2nd Annual General Meeting), tumekubaliana mkutano huu utafanyika tarehe 27.04.2019 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi na […]

KILIMO CHA MAHARAGWE KILINDI TANGA

  Habari kutoka kwa mkurugenzi wa Jatu Ndugu Peter Isare Kama mlivyoona jana baada ya kutembelea Eneo la KILINDI, nilitoa ushauri kama kuna mtu anatamani kulima maharagwe katika mkoa wa Tanga eneo la Kilindi aungane na mimi msimu ndo unaelekea kuanza ili tujaribu tuone. Kwa kifupi tu; kilimo cha maharagwe kina faida kubwa sana ukilinganisha […]

KILIMO CHA ALIZETI

  Jatu ni kampuni ya umma ambayo imejikita katika kilimo, viwanda na masoko. Jatu inatoa fursa kwa wanachama ambao hawakupata nafasi ya kununua mashamba ya kulima Alizeti huko kiteto, kukodi kwa ajili ya msimu wa pili 2018/2019. Gharama za kukodi mashamba ni kama ifuatavyo; – Kiteto: kukodi ekari moja ni Tsh. 35,000/= na gharama za […]

WAZIRI MWIJAGE AWATAKA WAJASIRIAMALI KUTOOGOPA KUZALISHA BIDHAA

Na: Mwandishi Wetu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mh, Charles Mwijage amewataka wajasiriamali kutokuwa na hofu katika biashara na badala yake kuhakikisha wanazalisha bidhaa za kutosha. Hayo ameyasema mapema leo tarehe 18.10.2018 wakati alipokuwa kwenye banda la Jatu Plc ndani ya maonesho ya mwanamke mjasiriamali yanayofanyika mkoani Dodoma kwenye viwanja vya Nyerere Square, ambapo […]

WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA AWATAKA VIJANA KUIGA MFANO WA JATU PLC

Na: Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Mstaafu Mh, Mizengo Kayanza Peter Pinda amesema kuwa ipo haja ya vijana kubadili mitazamo yao kuhusu ajira na badala yake wawaze kujiajiri zaidi kama walivyofanya vijana wa kampuni ya Jatu. Hayo ameyasema leo tarehe 17.10.2018 wakati alipotembelea banda la Jatu Plc ndani ya Maonesho ya Mwanamke Mjasiriamali yanayofanyika mjini Dodoma […]

JATU PLC: WAKAZI WA TANGA SIKU MOJA INAWEZA KUWATOA KIMAISHA

Na. Mwandishi Wetu Wakazi wa mkoa wa Tanga wamehaswa kuitumia vyema siku moja ya kesho ya maonesho ya maadhimisho ya wiki ya vijana kufika katika banda la Jatu Plc, kwani wanaweza kupata fursa ambazo zinaweza kuwatoa na kuwafanikisha kimaisha. Hayo yamesemwa leo tarehe 13.10.2018 na Mkurugenzi wa Jatu Plc, ndugu Peter Isare, akiwa mkoani humo […]