TANGAZO LA KAZI KITUO CHA KANDA YA ZIWA (MWANZA)
Kampuni ya JATU PLC “Jenga Afya Tokomeza Umasikini” inapenda kuwatangazia nafasi za Maafisa masoko wenye vigezo vifuatavyo; ELIMU • Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree) ya taaluma yoyote • Uwezo na…