TAARIFA MAALUMU (WANACHAMA WOTE WA JATU PLC)
Ndugu, Mwanachama tunapenda kukujulisha kuwa ofisi zetu hazitakuwa wazi kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za pasaka kuanzia kesho tarehe 15.04.2022 (Ijumaa kuu) mpaka siku ya jumatatu tarehe 18.04.2022…