Types of Member

Huyu ni mtu yoyote anayejiunga na kampuni kwa lengo la kununua bidhaa za JATU.Mwanachama huyu analipia kiingilio cha shilingi elfu 5000 na kujaza fomu ya uanachama.Mwanachama huyu anahaki ya kutengeneza mtandao  ma akapata malipo ya kila mwezi kutokana na manunuzi yake na wanamtandao wake.Mwanachama huyu anaruhusiwa kushiriki miradi mingine ya kampuni kama vile kilimo, saccos, masoko au kununua hisa za JATU.

Huyu ni mwanachama anayejiunga kwa kulipia shilingi elfu 5000 na anatakiwa kumiliki hisa za JATU angalau 50 na kuendelea ambapo bei ya hisa hutegemea na mwenendo wa hisa katika soko la hisa (DSE).Mwanachama huyu atapata faida zifuatazo kupata gawio la faida la kila mwaka kutokana na hisa zake, kushiriki katika miradi mbalimbali ya JATU, kupata mkopo wa kilimo usiokua na riba kupitia JATU SACCOS, kumiliki cheti cha hisa ambacho kinaweza kutumika kama dhamana katika taasisi mbalimbali za kifedha.

Huyu ni mwanachama ambae amejiunga kwa kulipia kiingilio ama ada shilingi elfu 5000 lakini pia mwanachama huyu anafanya kilimo chini ya usimamizi wa JATU, lakini pia mwanachama huyu lazima awe anamiliki hisa za JATU ambapo kama mkulima huyu atahitaji kulima ekari 1 mpaka 49 anatakiwa kuwa na hisa 50 yaani uwiano wa 1:50 na mwanachama anayetaka kulima ekari 50 na kuendelea anapaswa kumiliki hisa 500 yaani uwiano wa 1:500 kwa kukidhi vigezo hivyo mwanachama huyo anaweza kushiriki katika miradi mbalimbali kama kilimo cha maharage, mahindi, alizeti, mpunga, ngano, machungwa na parachichi.

Huyu ni mwanachama yoyote ambaye anaifahamu vizuri JATU PLC, na hutumia muda wake kuwahabarisha watu mbalimbali kuhusu JATU, lakini mwanachama huyu pia anaweza akawa ni mbunifu wa bidhaa mbalimbali ambazo zinaweza kuwekwa katika mfumo wetu wa JATU MARKET ili kupata soko lenye uhakika.

These are the founders of the JATU company idea and its entire system, their main task is to ensure that the JATU system works and brings development to every member to fulfill the responsibility of Improves Health and Eradicate Poverty.   

HOW TO JOIN JATU PLC

Kwa wote walioelewa kuhusu JATU na wako tayari kujiunga tafadhali waingie playstore au Appstore wapakue App yetu na waweze kujiunga Kupitia App ya Jatu au kama yupo karibu na ofisi zetu basi wafike ofisini moja kwa moja ili kuweza kujifunza zaidi (Sabasaba Maonesho -Dar Es salaam, Makao Makuu Ofisi ya Posta PSSSF House Ghorofa Na. 06) au karibu na branch zetu zilipo mikoani kama vile Arusha, Morogoro, Dodoma, Kiteto Manyara, Mtwara, Mwanza. Pia unaweza kutuma mfumo huu kuminya sehemu iliyoandikwa jiunge hapa ukaweza kujiunga au kupakua Apps ya JATU katika playstore au Appstore kwa kuandika neno JATU kisha ukaunda akaunti mpya moja kwa moja na kuweza kupata namba ya uanchama.

For more information you can call us: 0758396767 au 0657779244

JOINING COST

Kwa yeyote atakayetaka kujiunga na JATU Plc atatakiwa kujaza fomu maalumu ya uanachama ambayo inapatikana kwenye  Application yetu iliyopo playstore unachotakiwa ni kusoma maelezo na kujaza taarifa zako ambapo zitatufikia moja kwa moja kama utajaza fomu yetu kwa usahihi na kupewa namba ya utambulisho ya Uanachama wa JATU. Gharama yake fomu hiyo ni shilingi elfu Tano tu (5,000/=) na atakuwa ni mwanachama wa kawaida mwenye haki ya kununua na kushiriki na kupata huduma zinazotolewa na JATU Plc.

For a member who wants to join an agricultural project he/she should contact +255 657 779 244 for further clarification regarding agriculture. You can also visit https://jatukilimo.com/ for information on agriculture. 0758396767   

Malipo ya  JATU SACCOS yanaweza  kufanyika  kupitia  Application ya  JATUPESA.

Jatu payment accounts

Payment should be made to the following accounts

Payment through the Bank

NMB Account number

20710025732

Name JATU PLC

NMB Account number

20710026988

Name JATU KILIMO

NMB Account number

23610002972

Name JATU MAUZO

NMB Account number

23610003111

Name JATU SACCOS LTD

Payment through mobile networks

1. Enter menu M-Pesa * 150*00#

2. Select option 4 (Pay by M Pesa)

3. Select option 4 (Enter business number)

   

4. Enter the Business number (which is 370033)

   

5. Enter the reference number (payment for)

   

   

Enter amount

7. Enter pin

8. Select option 1

9. Ombi lako litatumwa

    kwenda JATU MAUZO

10. Kisha tuma taarifa zako,

    Jina Lako Kamili, na

    Malipo uliofanya

1. Ingia Tigo Pesa  * 150*00#

2. Chagua 4 (Lipa kwa Tigo

    Pesa)

3. Select option 4 (Enter business number)

   

4. Ingiza namba ya

    kampuni ambayo ni 370033

5. Enter the reference number (payment for)

   

   

Enter amount

7. Enter pin

8. Select option 1

9. Ombi lako litatumwa

    kwenda JATU MAUZO

10. Kisha tuma taarifa zako,

      Jina Lako Kamili, na

      Malipo uliofanya

1. Enter menu M-Pesa * 150*00#

2. Select option 4 (Pay by M Pesa)

3. Select option 4 (Enter business number)

   

4. Ingiza namba ya

    kampuni ambayo ni 406622

5. Enter the reference number (payment for)

   

   

Enter amount

7. Enter pin

8. Select option 1

9. Ombi lako litatumwa

    kwenda JATU SACCOS LTD

10. Kisha tuma taarifa zako,

      Jina Lako Kamili, na

      Malipo uliofanya

Funga menu
English
Kiswahili English