UNAUDITED RESULTS FOR THE PERIOD ENDING DECEMBER 2021

JATU-PLC-UNAUDITED-RESULTS-RESULTS-DECEMBER-2021Download Financial Review The Company is pleased to announce its results for the year 2021. The Company‚Äôs revenue increased by 478% with growth in maize flour, rice, beans, and sunflower…

0 Comments

TAARIFA MAALUMU (WANACHAMA WOTE WA JATU PLC)

Habari,Uongozi wa kampuni unawajulisha wanachama wake na umma kwa ujumla kwamba, kutokana na changamoto iliyojitokeza hivi karibuni, kampuni inafanya mabadiliko yafuatayo; - Ofisi zote za Matawi ambazo zilikuwa zinatoa huduma…

0 Comments

TAARIFA MAALUMU (WANACHAMA WOTE WA JATU PLC)

Ndugu wanachama na wote mnaotegemea kuwa wanachama wa JATU PLC, tunapenda kuwajulisha kwamba maandalizi ya kilimo kwa msimu wa 2022-2023 tayari yameanza, zoezi linaloendela sasa hivi ni la kulipia mashamba…

0 Comments

TAARIFA KWA UMMA

JATU Plc ni kampuni iliyosajiliwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) chini ya Sheria ya Kampuni ya Mwaka 2002 na kupewa cheti cha usajii namba 130452 kilichotolewa…

0 Comments

TAARIFA MAALUMU (WANACHAMA WOTE WA JATU PLC)

Ndugu, Mwanachama tunapenda kukujulisha kuwa ofisi zetu hazitakuwa wazi kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za pasaka kuanzia kesho tarehe 15.04.2022 (Ijumaa kuu) mpaka siku ya jumatatu tarehe 18.04.2022…

0 Comments

Tangazo

Mpendwa mteja Kutokana na makubaliano yaliyofanyika kwenye mkutano wa wakulima tarehe 04/04/2022 kwamba kampuni itakua ikionana na wakulima wanaomiliki mashamba ili kuendelea kuboresha , na tunapenda kukujulisha kuwa tutaanza na…

0 Comments
Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili