MABALOZI WA JATU, MRISHO MPOTO NA TABU MTINGITA LEO KATIKA BANDA LA JATU
Maonesho ya 45 ya sabasaba yanazidi kupamba moto katika viwanja vya Mwl Julius Kambarage Nyerere huku banda la JATU PLC likizidi kuwavutia watu wengi zaidi kutokana na shughuli ambazo kampuni…