MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KWANZA (1) KAMPUNI YA JATU PLC WANAHISA

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KWANZA (1) KAMPUNI YA JATU PLC WANAHISA   Pakua usome hapa

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KWANZA (1) KAMPUNI YA JATU PLC WANAHISA   Pakua usome hapa

 

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KWANZA (1) KAMPUNI YA JATU PLC

WANAHISA

 

YAH: TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KWANZA (1)

Taarifa inatolewa kwamba mkutano mkuu wa mwaka wa kwanza wa JATU PLC utafanyika siku ya jumamosi tarehe 28/04/2018 katika hotel ya LANDMARK katika ukumbi wa TUKUYU iliyopo Dar es Salaam, Ubungo kwa kutembea ni mwendo wa dakika kumi kutoka kituo kikuu cha mabasi ya mikoani. Kuanzia saa tatu asubuhi na ajenda zifuatazo zitashuhulikiwa:

 

 1. Kufungua mkutano
 2. Kupitishwa kwa ajenda
 3. Kuhakiki dondoo za mikutano mikuu ya ziada iliyopita
 4. Kujadili mambo yanayotokea
 5. Kupitishwa kwa taarifa ya mwenyekiti na taarifa ya kifedha iliyofanyiwa ukaguzi mwaka unaoishia tarehe 31 desemba 2017
 6. Taarifa ya mwenyekiti
 7. Taarifa ya kifedha iliyofanyiwa ukaguzi mwaka unaoishia tarehe 31 desemba 2017
 8. Gawio la mwaka 2017
 9. Mapendekezo ya makadilio ya bajeti ya mwaka 2018 wa kifedha
 10. Kuisajiri JATU katika soko la hisa na mitaji la Dar es salaam (DSE)
 11. Mapendekezo kutoka kwa wanahisa
 12. Masuala mengine kwa ridhaa ya mwenyekiti
 13. Maamuzi ya mahari na tarehe, kwa kikao kijacho
 14. Kufunga kikao

 

 

ZINGATIA

 1. Mwanahisa anayetaka kushiriki ni yule tu mwenye hisa kuanzia mia moja (100) na kuendelea, na aje na nakala ya cheti chake cha hisa au kadi maalum zinazopatikana ofisi kuu ya kampuni.
 2. Kama kunamwanachama anataka kuwakilishwa hakikisha mwakilishi anajaza fomu ya uwakilishi na kuipeleka ofisini saa nne asubuhi kabla ya tarehe 27.04.2018.
 3. Mapendekezo yaliyo chini ya agenda namba 11 yanapaswa kuwasilishwa kwa katibu ndani ya muda usiozidi tarehe 27.04.2018 saa kumi jioni.
 4. Gharama za usafiri na maladhi zitakuwa juu ya wanahisa wenyewe. kampuni itagharamia chai ya asubuhi, chakula cha mchana na chai ya jioni.

 

 

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA KWANZA (1) KAMPUNI YA JATU PLC

LANDMARK HOTEL-UKUMBI WA TUKUYU 28/04/2018

 

NO MUDA  TUKIO  MUHUSIKA
 01. 02:00-03:00 Kupokea wanahisa Ofisi ya rasilimari watu
 02. 03:00-3:30 Kufungua kikao na ukaribisho Katibu & Mwenyekiti
 03. 03:30-03:45 Kupitishwa kwa agenda Katibu
 04. 03:45-4:15 Kuhakiki dondoo za mikutano mikuu ya ziada iliyopita Katibu
 05. 04:15-05:00 Mapumziko & Chai ya Asubuhi Kamati
 06. 05:00-05:30 Kujadili mambo yanayotokea  

Katibu

 

 07. 05:30-05:45 Kupitishwa kwa taarifa ya mwenyekiti na taarifa ya kifedha iliyofanyiwa ukaguzi mwaka unaoishia tarehe 31 desemba 2017  

Katibu

 08. 05:45-06:15 Taarifa ya mwenyekiti Mwenyekiti
 09. 06:15-07:00 Taarifa ya kifedha iliyofanyiwa ukaguzi mwaka unaoishia tarehe 31 desemba 2017 Mweka hazina
 10. 07:00-07:15 Gawio la mwaka 2017 Mwenyekiti
11.  07:15-08:00 Mapendekezo ya makadilio ya bajeti ya mwaka 2018 wa kifedha Mwenyekiti
12.  08:00-08:45 Mapumziko & Chakula cha mchana Kamati
 13. 08:45-09:00 Kuisajiri JATU katika soko la hisa na mitaji la Dar es salaam (DSE) Mwanasheria
14.  09:00-09:30 Mapendekezo kutoka kwa wanahisa Katibu
 15. 09:30-10:00 Masuala mengine kwa ridhaa ya mwenyekiti Mwenyekiti
16.   10:00-10:15 Maamuzi ya mahari na tarehe, kwa kikao kijacho Katibu
 17. 10:15-10:30 Kufunga mkutano Katibu
 18.

 

10:30-11:00 Picha ya pamoja Afisa habari
19.  11:00 na kuendelea Chai ya jioni na kufahamiana Wote

 

 

0 replies

Leave a Reply

Want to join the discussion?
Feel free to contribute!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>