MUHIMU: TANGAZO KWA WAKULIMA WA JATU

Tunapenda kuwataarifu wanachama wakulima walionunua mashamba Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara, kwamba kutakuwa na Kikao kitakachofanyika Ofisi za Posta Jengo la PSSSF, ghorofa namba 11 ukumbi wa mikutano kuanzia saa 03:00 asubuhi hadi saa 05:00 asubuhi, tarehe 19 septemba, 2020.

Agenda kuu ni utoaji wa hati miliki za mashamba kwa awamu ya kwanza, hii inawahusu wale tu, waliosafisha na kung’oa visiki pamoja na walionunua mashamba safi lakini pia walioshiriki mchakato wa kugharamia gharama za kuingia soko la hisa (DSE).

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili