MUHTASARI WA MREJESHO WA UTAFITI WA JATU KATIKA UWEKEZAJI WA ZAO LA MACHUNGWA

Mwanzoni kwa mwezi October mwaka 2019 uongozi wa Jatu ulianza utafiti wa kilimo cha matunda kama sehemu muhimu ya maandalizi ya kuanza kuzalisha bidhaa zitokanazo na matunda.

Uongozi unapendekeza ifikapo mwaka 2024 kampuni iwe na uwezo mkubwa wa kuzalisha matunda pamoja na vinywaji vya aina mbali mbali vitokanavyo na matunda.

Pakua nakala hapo chini kupata taarifa yote.

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili