MUONGOZO WA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO 2021-2022

Uongozi na wafanyakazi wa JATU Plc tunayofuraha kuwakaribisha kuwekeza JATU na tunafurahi kuona mmechukua uamuzi wa kuwekeza katika kampuni yetu.


JATU ni kampuni ya Umma iliyo orodheshwa katika soko la Hisa Dar es salaam
na inaongozwa na kumilikiwa zaidi na vijana na wakulima wadogo wadogo nchini.
Dira ya kampuni ni kuwa Kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma bora kwa wateja ndani na nje ya nchi katika kilimo biashara, bidhaa za kilimo na kutoa faida nzuri kwa wawekezaji wake.

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili