MWONGOZO WA KUSHIRIKI MIRADI YA KILIMO NA UFUGAJI 2022 – 2023

MWONGOZO WA KUSHIRIKI MIRADI YA KILIMO NA UFUGAJI 2022 – 2023

JATU PLC ni kampuni ya umma ambayo imejikita katika kilimo, viwanda na masoko.
Pia kampuni inawezesha upatikanaji wa mikopo kwa miradi ya kilimo inayoendeshwa kwa usimamizi wake.

Sifa na Vigezo vya kushiriki miradi ya Kilimo JATU PLC

  1. Uwe mwanachama mwenye namba ya jatu plc (namba inapatikana kwa kujiunga mtandaoni kupitia JATU MARKET App Appstore na Playstore).
  2. Uwe na hisa za jatu plc (uwiano wa hisa 50 kwa ekari moja kwa mazao yote na mifugo 10). Hisa za jatu zinapatikana katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE).
  3. Uwe na shamba aidha la kununua au la kukodi ambalo lipo chini ya usimamizi wa jatu. (mashamba yote yanapatikana katika app ya JATU MARKET APP).
  4. Uwe mwanachama wa JATU SACCOS LTD.
  5. Usome na kuelewa kanuni na taratibu zote za uendeshwaji wa miradi ya Jatu Plc.

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili