TAARIFA MAALUMU (MABADILIKO YA MUDA WA KAZI)

Kampuni ya Jatu Plc inapenda kutoa taarifa kwa wanachama wake wote ambao wanapokea huduma mbalimbali kutoka kwa watumishi wetu wa matawi yetu yote Nchi nzima, kuanzia sasa huduma zetu zinatapatikana siku ya Jumatatu Mpaka Ijumaa Muda wa Saa 02:00 asubuhi Mpaka saa 11:00 Jioni.

Siku ya Jumamosi huduma zitapatikana kwa nusu siku yaani kuanzia saa 02:00 asubuhi Mpaka saa 07:00 Mchana. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kutokana na mabadiliko haya.

Ahsanteni.

Moses Lukoo William

Afisa Habari na Mawasiliano,

Jatu Dar es salaam.

07 Mei, 2021

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili