TAARIFA MAALUMU (WANACHAMA WOTE WA JATU PLC)

TAARIFA MAALUMU (WANACHAMA WOTE WA JATU PLC)

Ndugu, Mwanachama tunapenda kukujulisha kuwa ofisi zetu hazitakuwa wazi kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za pasaka kuanzia kesho tarehe 15.04.2022 (Ijumaa kuu) mpaka siku ya jumatatu tarehe 18.04.2022 (Jumatatu ya Pasaka), kazi zitaendelea siku ya jumanne tarehe 19.04.2022.

Kwa mwanachama mfugaji wa Batch 01 tunapenda kukujulisha kwamba sasa unaweza kuingia kwenye akaunti yako ndani ya mfumo wetu wa JATU Market kuanzia Jumatatu ya Pasaka kuona na kuhakiki taarifa zako kwa ajili ya kuuza mifugo ya batch 01.

Wanachama wakulima kutokana na makubaliano yaliyofanyika tarehe 02.04.2022 katika mkutano wa wakulima wa robo ya kwanza ya mwaka 2022 Ubungo Plaza Dar es salaam, bado hatujakamilisha ripoti yetu tafadhali tunaomba muendelee kuwa wavumilivu wakati huu ambao tunakamilisha ripoti yetu na kuhakikisha kila mmoja anapokea ujumbe wa Taarifa zake.

Tunawatakia Pasaka Njema.

“Jatu, Jenga Afya Tokomeza Umaskini”

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili