TANGAZO KWA WANACHAMA NA WAKAZI WA ARUSHA

Kampuni ya Jatu Plc, inapenda kuwatangazia wanachama na wakazi wote wa Arusha kuwa ofisi ya Jatu iliyokuwa jengo la Said Condo Ghorofa namba mbili chumba namba 221 Kaloleni mkabala na kanisa la pentekoste imehamishiwa jengo la Saidi Condo Ghorofa namba tatu chumba namba 306 lililotazamana kanisa la pentekoste kaloleni maarufu kwa jina la (furniture collection)

Kwa maelezo zaid kuhusu Jatu Plc arusha wasiliana nasi kupitia na +255 (0) 762 264 730.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza

“Jatu, Jenga Afya Tokomeza Umasikini”

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili