TANGAZO LA KAZI KITUO CHA KANDA YA KATI (DODOMA)

Kampuni ya JATU PLC “Jenga Afya Tokomeza Umasikini” inapenda kuwatangazia nafasi za Maafisa masoko wenye vigezo vifuatavyo;

1. ELIMU

• Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree) ya taaluma yoyote

• Uwezo na Uzoefu binafsi kwenye Masoko

• Wenye makazi ya kudumu DODOMA na wenye ufahamu wa mazingira ya mkoa tajwa watapewa kipau mbele

2. MUDA

• Maombi yanaanza kupokelewa kuanzia tarehe 28.03.2021 mwisho 05.04.2021

3. MAFUNZO YA KAZI

• kutakuwa na mafunzo ya wiki moja kuanzia tarehe 06.04.2021

• Kutakuwa na usahili wa mwisho baada ya mafunzo tarehe 24.04.2021

Ofisi zipo DODOMA, Majengo sokoni, Maeneo ya Sango mtaa wa kipande, Jengo la KISAGANI Ghorofa Na. 02.

Maombi yote yatumwe kwenye barua pepe yetu; ajira@jatu.co.tz

“Jatu, Jenga Afya Tokomeza Umaskini”

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili