TANGAZO LA KAZI KITUO CHA KANDA YA ZIWA (MWANZA)

Kampuni ya JATU PLC “Jenga Afya Tokomeza Umasikini” inapenda kuwatangazia nafasi za Maafisa masoko wenye vigezo vifuatavyo;

 1. ELIMU
  • Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree) ya taaluma yoyote
  • Uwezo na Uzoefu binafsi kwenye Masoko
  • Wenye makazi ya kudumu MWANZA na wenye ufahamu wa mazingira ya mkoa tajwa
  watapewa kipau mbele
 2. MUDA
  • Maombi yanaanza kupokelewa kuanzia tarehe 02.03.2021 mwisho 09.03.2021
 3. MAFUNZO YA KAZI
  • kutakuwa na mafunzo ya wiki moja kuanzia tarehe 10.03.2021
  • Kutakuwa na usahili wa mwisho baada ya mafunzo tarehe 17.03.2021
  Ofisi zipo MWANZA, Mtaa wa Ghana, Jengo la OLYMPIC floor no.1 karibu na ROCK CITY MALL.
  Maombi yote yatumwe kwenye barua pepe yetu; ajira@jatu.co.tz

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili