Tangazo

Tangazo

Mpendwa mteja

Kutokana na makubaliano yaliyofanyika kwenye mkutano wa wakulima tarehe 04/04/2022 kwamba kampuni itakua ikionana na wakulima wanaomiliki mashamba ili kuendelea kuboresha , na tunapenda kukujulisha kuwa tutaanza na wanaomiliki mashamba ya mkoa wa Manyara (Kiteto), siku ya jumamosi 09/04/2022 ,muda ni saa 3 kamili asubuhi, eneo makao makuu ya jatu plc , Psssf House Samora floor no 04.

Karibuni sana.
Jenga Afya Tokomeza Umasikini

Toa Jibu

Funga menu
Kiswahili
English Kiswahili